• Malalamiko
    • Wasiliana Nasi
    • Maswali na majibu
    • Barua pepe
KIBITI DISTRICT COUNCIL
KIBITI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Admnistration
    • Muundo wa Taasisi
    • Utawala
    • Vitengo
  • Uwekezaji
    • Livestock Investment
    • Tourism
    • Agriculture Investment
  • Huduma zetu
  • Council Members
  • Project
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari

KAMATI YA FEDHA,UTAWALA NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI ROBO YA PILI

Posted on: February 22nd, 2021

KAMATI YA FEDHA UTAWALA NA MIPANGO YAFANYA UKAGUZI WA MIRADI ROBO YA PILI.

Kamati ya Fedha Utawala na Mipango leo tarehe 22-02-2021 imefanya ukaguzi wa miradi mbalimbali ikiwemo ya elimu Msingi ,Sekondari  pamoja na Utawala.

Miradi iliyotembelewa leo ni shule ya msingi Motomoto ambayo ilipata changamoto ya paa kuezuliwa na upepo na Mkueugenzi mtendaji aliwapa kiasi cha zaidi ya milioni kumi na sita toka mapato yake ya ndani kwa ajili ya ukarabati na teyari ukarabati umefanyika na wanafunzi wanaendelea na masomo,kamati ilitembelea kikundi cha kinamama wajasilia mali kinachoendesha shughuli zake shule ya sekondari Kibiti ambacho kilipatiwa mkopo kiasi cha shilingi milioni nne kwa awamu ya pili ,kikundi kinaendesha mgahawa na kinaendelea vizuri.

Pia kamati ilitembelea jengo la ghorofa mbili la ofisi ya Halmashauri ya Kibiti ambalo ujenzi wake unaendelea kwa sasa lipo kwenye hatua ya ukamilishaji chanzo cha fedha za ujenzi zimetolewa na serikali kuu.

Aidha Mhe mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na kamati yake wameridhishwa na usimamizi mzuri wa  miradi na kutoa pongezi kwa Mkurugenzi Mtendaji pamoja na watendaji wote na kuahidi kuwapa ushirikiano wa dhati katika kuhakikisha Kibiti inakwenda mbele na kutoa huduma bora kwa wananchi wake.

IMETOLEWA NA KITENGO CHA TEHAMA NA UHUSIANO HALMASHAURI YA KIBITI

Matangazo

  • KILIMO UFUTA December 23, 2020
  • JOINING INSTRUCTIONS December 23, 2020
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA,UTAWALA NA MIPANGO YATEMBELEA MIRADI ROBO YA PILI

    February 22, 2021
  • BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI KIBITI LAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI THELATHINI NUCTA NNE

    February 03, 2021
  • KIBITIDC KUPOKEA WANAFUNZI DARASA LA KWANZA NA KIDATO CHA KWANZA KWA KISHINDO

    January 05, 2021
  • TIMU YA WATAALAMU (CMT) WATEMBELEA MIRADI TAREHE 28 DISEMBA 2020

    December 28, 2020
  • Angalia Vyote

Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa

More Videos

Kurasa za Haraka

  • Ajira
  • Madiwa wa sasa
  • Barua pepe
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Maswali na Majibu
  • Fursa za Uwekezaji
  • Maktaba ya Picha
  • Fomu Mbalimbali

Tovuti zinazoshabiana

  • TANZANIA GOVERNMENT PORTAL
  • COAST REGION WEBSITE
  • TAMISEMI
  • PRESIDENT'S OFFICE,PUBLIC SERVICE MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE
  • NECTA
  • TOVUTI YA AJIRA
  • IKULU
  • TANZANIA BUREAU OF STATISTIJS
  • Tume ya uchaguzi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kibiti

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • Maswali na majibu
    • Sitemap
    • Huduma zetu

Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.