• Malalamiko
    • Wasiliana Nasi
    • Maswali na majibu
    • Barua pepe
KIBITI DISTRICT COUNCIL
KIBITI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Admnistration
    • Muundo wa Taasisi
    • Utawala
    • Vitengo
  • Uwekezaji
    • Livestock Investment
    • Tourism
    • Agriculture Investment
  • Huduma zetu
  • Council Members
  • Project
  • Machapisho
  • Kituo cha Habari

TIMU YA WATAALAMU (CMT) WATEMBELEA MIRADI TAREHE 28 DISEMBA 2020

Posted on: December 28th, 2020

Timu ya Wataalamu (CMT) Wilaya ya Kibiti leo tarehe 28 Disemba 2020 wametembela miradi mbalimbali ya ujenzi na ukarabati wa madarasa na maabara ya Elimu Msingi na Sekondari kwa ajili ya mapokezi ya wanafunzi wa kidato cha kwanza na darasa la kwanza mapema mwanzoni mwa Januari 2021. Kwenye ziara hiyo pia Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Mohamed I. Mavura  alishiriki kwenye ufyatuaji wa matofali katika kuunga mkono jitihada za jamii kwenye shule ya Msingi Lumyozi. 

Pia timu hiyo ya Wataalamu walitembelea na kukagua eneo la Kingwira na Mbebetini kuona ni eneo lipi litafaa kujengwa ghala la kuhifadhia mazao. Kwa picha zaidi bonyeza linki hii ya chini

Bonyeza hapa kwa picha zaidi


Matangazo

  • KILIMO UFUTA December 23, 2020
  • JOINING INSTRUCTIONS December 23, 2020
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • KIBITIDC KUPOKEA WANAFUNZI DARASA LA KWANZA NA KIDATO CHA KWANZA KWA KISHINDO

    January 05, 2021
  • TIMU YA WATAALAMU (CMT) WATEMBELEA MIRADI TAREHE 28 DISEMBA 2020

    December 28, 2020
  • NANENANE 2020

    August 04, 2020
  • AWAMU YA PILI YA UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

    April 29, 2020
  • Angalia Vyote

Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa

More Videos

Kurasa za Haraka

  • Ajira
  • Madiwa wa sasa
  • Barua pepe
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Maswali na Majibu
  • Fursa za Uwekezaji
  • Maktaba ya Picha
  • Fomu Mbalimbali

Tovuti zinazoshabiana

  • TANZANIA GOVERNMENT PORTAL
  • COAST REGION WEBSITE
  • TAMISEMI
  • PRESIDENT'S OFFICE,PUBLIC SERVICE MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE
  • NECTA
  • TOVUTI YA AJIRA
  • IKULU
  • TANZANIA BUREAU OF STATISTIJS
  • Tume ya uchaguzi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kibiti

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • Maswali na majibu
    • Sitemap
    • Huduma zetu

Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.