Mkuu wa wilaya ya Kibiti amezindua kampeni ya kitaifa ya Chanjo ya Surua na Rubella. Watoto 17,625 wanatarajiwa kupatiwa chanjo hiyo kuanzia tarehe 17-21 Oktoba 2019 kwenye vituo vya huduma za afya na vile vya muda vilivyowekwa kwa ajili ya zoezi hili. Ewe mwananchi mpeleke mwanao mwenye umri kuanzia miezi tisa mkapa miaka mitano kwa ajili ya chanjo hii.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.