HABARI NJEMA KWA WAKULIMA WA KOROSHO WA WILAYA YA KIBITI
Mkurugenzi wa wilaya ya Kibiti anapenda kuwatangazia
tena wakulima wa korosho kuwa ule mnada uliotakiwa
kufanyika tarehe 30/10/2019, sasa utafanyika tarehe
13/11/2019 katika wilaya ya Kibiti.
Hivyo wakulima mnatakiwa kukausha, kupanga
madaraja na kuzipeleka korosho zenu kwenye
maghala ya vyama vya msingi vilivyoko katika
kata zenu.
Mawasiliano zaidi piga simu: 0784 211 643
Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji
Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.