Katika kuazimisha siku ya utunzaji wa Mazingira na upandaji miti Kitaifa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kwa kupitia Wataalamu wake wa Idara mbalimbali,Vitengo pamoja na Wanafunzi wa Sekondari wamepanda miti kwenye eneo linalozunguka jengo jipya la Halmashauri linaloendelea kujengwa. Miti mbalimbali ilipandwa ikiwa ni ya matunda.Mbao na kivuli ili kupata Chakula,Kivuli,Biashara pamoja na kutunza kutunza mazingira.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.