Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo akigawa sare (Gwanda) kwa maafisa ugani wa wilaya ya kibiti katika hafla fupi iliyofanyika leo kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo.
Sare hizo zilitolewa na Mh. Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Samia Suluhu Hassan kama sehemu ya hitimisho la Mpango wa kuwawezesha vitendea kazi maafisa ugani wote Nchini kwa lengo kuu la kurahisisha utendaji kazi, kurahisisha utoaji huduma na kuongeza uzalishaji katika sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.