Mawakala na Wagombea wa Chama cha CCM na CUF wakila kiapo cha kutunza siri kwa mujibu wa sheria leo tarehe 13 Machi, 2024 kwaajili ya Uchaguzi mdogo wa Udiwani Kata ya Mlanzi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani.
Chama cha NRA hakikupeleka Wakala kwamaelezo kuwa wanaiamini Tume ya Uchaguzi, wakati vyama vya UDP, UPDP, DEMOKRASIA MAKINI, UMD na ACT wao hawakuleta wakala. Uchaguzi mdogo wa Udiwani unatarajiwa kufanyika Jumatano ya tarehe 20.03.2024.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.