Mwenge wa uhuru wilayani kibiti, ulikimbizwa kwa kukagua, kuzindua, kuweka mawe ya msingi na kutembelea miradi ya maendeleo mbalimbali.Katika mbio za mwenge za mwaka 2019 jumla ya miradi 11 yenye jumla ya thamani ya zaidi ya mbilioni mbili.
Kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru 2019 ametoa pongezi kwa Viongozi wa Wilaya kwa usimamizi mzuri wa pesa katika miradi. wakati wa salamu akipokea salamu za utii kwa Rais aliahidi kuzifikisha salamu za wana Kibiti.
Baada ya kukamilisha shughuri zake siku ya ijumaa mwenge wa uhuru uliekea Wilayani Rufiji.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.