Mheshimiwa Balozi wa Korea Kusini inchini Tanzania amezindua jengo la Wazazi, katika kituo cha Afya Kibiti, lililojengwa kwa hisani ya mradi wa KOFIH, katika hutuba yake iliyo pambwa na maneno fasaha ya kiswahili, amesisitiza ushirikiano imara na kusema, kuwa haba na haba hujaza kibaba. Yeye na serikali yake wameahidi kuto kuchoka kusaidia maendeleo katika nyanja zote ikiwemo elimu, katika kuunga Juhudi za Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli, katika kuwaletea maendeleo wananchi.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.