MKUU WA MKOA WA PWANI MH. ABUBAKAR KUNENGE ASHIRIKI HAMASA YA SENSA WILAYANI KIBITI
Posted on: August 23rd, 2022
Zoezi la kuwahamasisha wananchi wa kibiti juu ya kujitokeza kuhesabiwa kwa hiyari limefanyika katika uwanja wa stendi ya mabasi uliopo wilaya ya kibiti