Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo amefanya ziara katika shule za Msingi za Kinyanya,Kibiti Pamoja na Ujamaa yenye lengo la kutahmini muitikio wa wanafunzi wa awali kuripoti katika shule hizo amabao wanatakiwa kuanza masomo kwa mwaka huu 2025.
Hatua hiyo ni muendelezo wa ziara za Mkuu wa Wilaya ya Kibiti kutembelea shule hizo ili kuhakikisha wanafunzi wote waliopo katika umri wa kuanza shule wanapata haki yao ya msingi ya kupata elimu.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.