Nawapongeza wananchi, wasimamizi wa Uchaguzi na waandikishaji wa Halmahsauri ya wilaya ya Kibiti kwa kujituma na kuifanya Halmashauri yetu kuwa ya kwanza kimkoana ya tatu kitaifa katika zoezi la uandikishajiwa wapiga kura. Uchaguzi wa serikali za Mitaa 24 Novemba 2019.
BW. MOHAMED MAVURA
DED KIBITI
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.