Mwenge wa Uhuru uliwasili rasmi katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti tarehe 2/6/2017 na kupokelewa rasmi katika shule ya sekondari Mjawa.
Katikati ni kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa ndugu AMOUR HAMAD AMOUR,kushoto ni Mkuu wa Wilya ya Kibiti Mh.Gullam Kifu na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Bi. Alvera Kigongo Ndabagoye.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.