Msimazi wa Uchaguzi wa wilaya ya kibiti anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura.
SIFA ZA MPIGA KURA
1.Awe ni raia wa Tanzania
2. Awe na umri wa miaka 18 na zaidi
3.Awe ni mkazi wa kitongoji husika
4. Awe amejiandikisha kwenye daftari la kupiga kura.
5. Asiwe na ugonjwa wa akili
SIFA ZA KUTOPIGA KURA
1. Hana sifa zilizotajwa hapo juu
2.Akiwa amejiandikisha kwenye kituo zaidi ya kimoja
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.