Katibu Tawala wa Halmashauri ya Kibiti Bwana. Milongo Sanga katikati akizindua zoezi la Upigaji Chapa wa mifugo waliopo katika Halmashauri ya Kibiti
kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Kibiti ambae yupo safarini.Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji Bi. Alvera Ndabagoye pamoja na Afisa mifugo Bi.Nancy Kihara,na kushoto ni Mwenyekiti wa
Halmashauri Bwana. Khatibu Chaurembo,katika Kata ya Mtawanya,Kijiji cha Makima.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.