MKUU WA MKOA WA PWANI MH.EVARIST NDIKILO AZINDUA UNUNUZI WA KOROSHO MKOANI PWANI NA UZINDUZI HUO UMEFANYIKA WILAYANI KIBITI. UKISHUUDIWA NA WAKULIMA NA WANAUSHIRIKA WA KOROSHO.