MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI ANAWATANGAZIA KUWA, MNADA WA KWANZA UTAFANYIKA TAREHE 30/10/2019.
HIVYO WAKULIMA WOTE MNAKUMBUSHWA KUFANYA YAFUATAYO:
1. Kukausha korosho na kupanga madaraja
2. Kupeleka korosho kwenye maghala ya vyama vya msingi yaliyo kwenye kata mnazoishi
3. kangomba hairuhusiwi kabisa. Sheria itachukua mkondo wake kwa atakayejishughulisha na kangomba.
NB
Zoezi la ukaguzi linalozuia utoroshaji wa korosho na kangomba linaendelea. Chukua Tahadhari. Kuwa mzalendo.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA AFISA KILIMO(W),
SIMU NA 0784-211643
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.