Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Wilaya ya Kibiti yamefanyika hii leo Tarehe,06,02,2025 Katika Viwanja vya Samora.
Awali Maadhimisho hayo yalitanguliwa na matembezi ya Pamoja yaliyowakutanisha Wanawake kutoka Taasisi mbalimbali na wadau katika Wilaya ya Kibiti Pamoja na wanafunzi wa Shule za Msingi.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.