Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Subira Hamisi Mgalu, akikagua mradi wa utafiti wa Jotoardhi ili kuwezesha Pwani ya kusini mashariki kuwa na umeme wa uhakika katika kijiji cha Luhoi kilichopo kata ya Dimani leo mapema.
Akipokea maelezo ya mradi kutoka kwa Mkurugenzi wa utafiti wa viashiria vya Jotoardhi Tanzania(TGDC),Mhe. Subira alihakikishiwa kuwa, baada ya mradi kukamilika utakuwa na uwezo wa kuzalisha umeme wa Mega Wati 600 ambao utasaidia kwa kiasi kikubwa kuchochea sera ya Tanzania ya Viwanda ya Mhe. Rais wetu John Pombe Magufuli.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.