Posted on: January 13th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Ndg. Hanan Bafagih amekutana na Wakuu wa Shule za Sekondari Wilayani humo kwa lengo la kufahamiana na kusikiliza kero mbalimbali wanazokuta...
Posted on: December 18th, 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, ameagiza maonyesho ya biashara na uwekezaji ya Mkoa wa Pwani kuwa ya kitaifa kuanzia mwaka 2025, yakisimamiwa rasmi na Wizara ya Viwanda na Biashara.
...
Posted on: December 16th, 2024
Jumla ya Tani 20,150 zenye thamani ya sh. Mil 65 zimeuzwa katika msimu wa korosho Mkoa wa Pwani huku hali ya bei ya korosho ikiridhisha na kuwapelekea matumaini wakulima ambapo waliweza kuuza...