Posted on: September 6th, 2024
Idara ya Afya, Ustawi wa jamii na Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti imefanya kikao cha siku 2 ili kutathmini hali ya Utendaji kazi wa Idara hiyo kwa mwaka uliopita. Kikao hicho kimefanyika kati...
Posted on: September 2nd, 2024
Baraza maaluum la Wahe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti limeketi tarehe 30.08.2024 ili kupitia na kuridhia hesabu za Halmashauri hiyo za kufunga mwaka wa fedha 2023/2024.
Wajumbe wo...
Posted on: August 30th, 2024
Jana Agosti 29, 2024 Benki ya NMB imekabidhi Madawati 120 kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibiti ikiwa ni sehemu ya kurudisha shukrani kwa Jamii ya Kibiti kwa kuendelea kuiamini na kutumia benki hiyo. Msaada hu...