Posted on: November 22nd, 2022
Kaimu mkuu wa wilaya ya kibiti Meja Edward Gowele amepokea msaada wa mabati 200 yenye thamani ya shilingi 10,000,000 kutoka Kwa bank ya NMB Kanda ya Dar es salaam Kwa ajili ya kuezekea shule 3 &...
Posted on: November 21st, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti na Tanzania kwa ujumla imeungana na nchi nyingine ulimwenguni kuazimisha siku ya uvuvi Duniani yenye kauli mbiu ya Bahari ni kioo chetu , katika kijiji cha Pombwe...
Posted on: November 18th, 2022
SIKU YA PILI
Hatimaye muafaka wa jinsi gani Shirika la Wetland international litashirikikiana na jamii kulinda na kuhifadhi misitu ya mikoko delta ya rufiji katika Wilaya ya kibiti umepati...