Posted on: October 21st, 2019
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kibiti anayo furaha kuwajulisha wananchi kuwa Mitihani ya kidato cha nne 2019 itaanza tarehe 04/11/2019
na kidato cha pili itaanza 11/11/2019. Hivyo basi.
...
Posted on: October 21st, 2019
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI ANAWATANGAZIA KUWA, MNADA WA KWANZA UTAFANYIKA TAREHE 30/10/2019.
HIVYO WAKULIMA WOTE MNAKUMBUSHWA KUFANYA YAFUATAYO:
1. Kukausha korosho n...
Posted on: October 18th, 2019
Nawapongeza wananchi, wasimamizi wa Uchaguzi na waandikishaji wa Halmahsauri ya wilaya ya Kibiti kwa kujituma na kuifanya Halmashauri yetu kuwa ya kwanza kimkoana ya tatu kitaifa katika zoezi la uandi...