Posted on: October 17th, 2019
Mkuu wa wilaya ya Kibiti amezindua kampeni ya kitaifa ya Chanjo ya Surua na Rubella. Watoto 17,625 wanatarajiwa kupatiwa chanjo hiyo kuanzia tarehe 17-21 Oktoba 2019 kwenye vituo vya huduma za afya na...
Posted on: October 8th, 2019
Msimazi wa Uchaguzi wa wilaya ya kibiti anawatangazia wananchi wote wenye sifa za kupiga kura kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura.
SIFA ZA MPIGA KURA
1.Awe ni raia wa Tanzania
2...
Posted on: August 5th, 2019
Mheshimiwa Balozi wa Korea Kusini inchini Tanzania amezindua jengo la Wazazi, katika kituo cha Afya Kibiti, lililojengwa kwa hisani ya mradi wa KOFIH, katika hutuba yake iliyo pambwa na maneno fasaha ...