Posted on: July 24th, 2024
24.07.2024
Kampuni ya Jenga Tanzania Agriculture imetoa msaada wa Vifaa kwaajili ya kusaidia shughuli za lishe wilayani Kibiti. Hii ni katika kuunga mkono jitihada za Serikali za kupunguza ama...
Posted on: July 24th, 2024
23.07. 2024
Kanisa La KKKT-DMP Jimbo la Kusini Misioni ya Kibiti wamekabidhi msaada wa nguo na viatu vilivyotolewa na Washarika mbalimbali kwa wahanga waliokumbwa na Maafa ya Mafuriko Wilayani humo...
Posted on: July 24th, 2024
22.07.2024
Shirika lisilo la kiserikali la TaTEDOSESO limetoa mafunzo muhimu ya utunzaji wa mazingira na uchomaji wa mkaa endelevu katika Kijiji cha Ngulakula na baadae wataendelea katika viji...