Posted on: June 24th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo akiwa ameambatana na Kamati ya maafa pamoja na Viongozi wa Chama amezivunja rasmi kambi zilizotengwa kwaajili ya waathirika wa mafuriko Wilayani humo. Ka...
Posted on: June 20th, 2024
19.06.2024.
Mnada wa pili wa ufuta Mkoa wa Pwani umefanyika katika Wilaya ya Mkuranga kwa njia ya mfumo wa TMX na kufanikiwa kuuza Tani zipatazo 3600.
Katika mnada huo wakulima wote kwa...
Posted on: June 20th, 2024
Kamati ya Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti imefanya kikao cha tathmini ya hali ya Lishe Wilayani humo leo Juni 20, 2024 katika ukumbi wa Halmashauri hiyo ikiwa ni kikao chake cha robo ya 3 kwa mw...