Posted on: April 14th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo akiwa ameambatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama, amepaza sauti akiwasihi wadau mbalimbali kujitokeza kuwasaidia wahanga wa Mafuriko Wilayani humo ambao ...
Posted on: April 13th, 2024
13.04.2024
Zoezi la kugawa misaada mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko wilayani Kibiti limeendelea ambapo Kaya 165 kati ya 172 zilizopo kambi ya Kitumbini katika kata ya Mtunda zimepokea msaada siku...
Posted on: April 11th, 2024
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Pwani Mwakilishi wa Wafanyakazi Tanzania Bara Mhe. Dkt. Alice Kaijage, amewasili Kibiti Leo Tarehe 11.4 .2024 na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali pamoja na fedha...