Posted on: April 8th, 2024
6. 4. 2024.
Mbunge wa Jimbo la kibiti Mhe. Twaha Mpembenwe amewatembelea na kutoa pole kwa wakazi wa Kibiti ambao wameathiriwa na Mafuriko yaliyosababishwa na maji yanayotiririka kutoka vyanzo mbal...
Posted on: April 5th, 2024
3.4.2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Ndg Hemed Magaro na Wataalam wake wamefanya ziara ya kawaida kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo katika Kata ya Dimani na Kibiti.
...
Posted on: March 28th, 2024
Baada ya kukosekana kwa Baraza la ardhi na nyumba kwa muda mrefu Wilaya ya Kibiti hatimaye jana tarehe 27.03. 2024 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Abubakar Kunenge akiwa katika ukumbi wa mikutano wa Halmas...