Posted on: March 8th, 2024
7.3.2024
Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti imeadhimisha Juma la Elimu sambamba na utoaji wa TUZO kwa shule, wanafunzi na walimu waliofanya vizuri kitaaluma kwa Idara zote yaani elimu ya Msingi ...
Posted on: March 8th, 2024
Kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani, Wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti wamewatembelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu waliopo katika kituo cha Mataqwa ya Waislam ...
Posted on: March 4th, 2024
Wagombea kumi na moja (11) wa nafasi ya Udiwani wamejitokeza kuchukua fomu za uteuzi katika kata ya Mlanzi, Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti. Hatua hii ni kufuatia ratiba ya Uchaguzi mdogo wa Mad...