Posted on: February 16th, 2024
Zoezi uchanjaji wa chanjo ya SURUA na RUBELLA nchini limezinduliwa tarehe 15/2/2024. Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti kama ilivyo kwa Halmashauri nyingine nchini wametekeleza zoezi hilo katika hospital...
Posted on: February 16th, 2024
Baraza la Madiwani Wilayani Kibiti limekutana katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo tarehe 15.2.2024 kupokea na kujadili taarifa za utekelezaji wa Miradi mbalimbali kwa robo ya pili ya Mwaka wa ...
Posted on: February 16th, 2024
15.2.2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo amekabidhi magari mawili aina ya Toyota Hilux yenye thamani ya Sh. 199,896,600/=. Kati ya hizo Sh. 190,000,000/= ni fedha kutoka Serikali ku...