Posted on: February 24th, 2024
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kibiti Ndugu Hemed Said Magaro, leo tarehe 24/02/2024 ameendesha kikao na Viongozi wa Vyama vya Siasa kuhusiana na Uchaguzi Mdogo wa Udiwani Kata ya Mlanzi unaotegemewa ...
Posted on: February 22nd, 2024
Ikiwa ni mwendelezo wa ziara ya Mwenyekiti wa Siasa Itikadi na Uenezi Mkoa wa Pwani Mhe. Mwinshehe Mlao ameendelea kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Mkoa wa Pwani ambapo Jana tarehe 21.02.2024...
Posted on: February 22nd, 2024
22.2.2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo amefungua warsha ya Uhifadhi wa matumbawe (mazalia ya samaki) baharini katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri hiyo.
"Nimefurahi war...