Posted on: February 2nd, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo amewataka wananchi kuacha tabia ya kuondoa mashauri mahakamani na kuyarudisha majumbani kwa madai kwamba watamaliza nyumbani kwani ni chanzo kikuu cha ku...
Posted on: February 2nd, 2024
Kamati hiyo ilipita na kukagua miradi ifuatayo:
1.Ujenzi wa nyumba za Walimu 2 kwenye jengo moja (2 in 1) katika shule ya Msingi kikale inayojengwa kwa kutumia MAPATO YA NDANI mpaka sasa Halmashaur...
Posted on: January 31st, 2024
Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam imekabidhi msaada wa mabati 120 yenye thamani ya zaidi ya sh Mil 4 kwa ajili ya kuezeka shule ya Msingi kiasi iliyopo Wilayani Kibiti ambayo iliezuliwa na...