Posted on: June 2nd, 2023
Baraza la Madiwani Wilaya ya Kibiti kwa mwaka wa fedha 2022/2023 robo ya tatu, limeketi katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya, kujadili taarifa mbalimbali ambapo kwa pamoja wameridhia na kuzipi...
Posted on: May 30th, 2023
Mwenyekiti na Mgeni rasmi wa kikao cha wadau wa UFUTA Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo, ameagiza kufunguliwa kwa maghala yote Wilayani Kibiti, ili wakulima waanze kupeleka ufuta...
Posted on: May 23rd, 2023
MKUU wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo amekutana na Wananchi wa Kijiji cha Nyambili Wilayani humo kwa lengo la kuwatambulisha rasmi mradi mpya wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi...