Posted on: May 21st, 2023
.
21.5.2023
Mwenge wa uhuru 2023 umeridhia miradi 15 ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti yenye jumla ya sh.Bil 1.3 kwa kuikagua, kuzindua, kufungua sambamba na uwekaji wa mawe ya...
Posted on: May 15th, 2023
MWENGE wa uhuru umepokelewa Mkoani Pwani, kutoka Mkoa wa Morogoro ambapo ukiwa Mkoani hapo utapitia Miradi 99 yenye thamani ya trilioni 4.4.
Akipokea Mwenge huo, eneo la Ubena Estate Mkuu...
Posted on: May 10th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Kanali Joseph Kolombo amewataka wakazi wa Kitembo kuitunza na kuilinda Zahanati ya Kitembo ambayo imejengwa na wananchi Pamoja na Serikali yao.
"Zahanati...