• Malalamiko
    • Wasiliana Nasi
    • Maswali na majibu
    • Barua pepe
KIBITI DISTRICT COUNCIL
KIBITI DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhima na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mazingira
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Fedha na Biashara
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Umwagiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Tehama na Uhusiano
      • Nyuki
      • Uchaguzi na Utawala Bora
  • Fursa za Uwekezaji
    • Ufugaji
    • Utalii
    • Kilimo
    • Vivutio vya utalii
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Sheria
    • Taarifa
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Taarifa kwa Umma
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Mifumo

Tehama

MAJUKUMU YA KITENGO CHA TEHAMA NA MAHUSIANO

Kitengo Cha TEHAMA na mahusiano kina jukumu la kutoa huduma za kitaalamu juu ya matumizi ya Teknolojia ya habari na mawasiliano, Pamoja na undeshaji wa  kazi za habari na mahusiano. Kitengo hiki kinajumuisha Sehemu mbili ambazo ni: -

1. Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

2..Habari na Mahusiano

 SEHEMU YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO:

 Katika Sehemu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, kazi zinazotekelezwa ni kama zifuatazo:-

  1. Kutoa msaada wa kiufundi kwa watumiaji wa mfumo mbalimbali ya TEHAMA ikiwemo MUSE, LGRCIS, HCMIS, GoT-HOMIS, Planrep, FFARS, TANePS n.k.
  2. Marekebisho na matengenezo ya vifaa vya TEHAMA (Kompyuta, PoS,  Printers na Scanners)
  3. Uboreshaji wa mapato kwa kutumia mifumo ya kielektoniki ya ukusanyaji mapato pamoja na vifaa vyake "Point of Sales" (PoS)
  4. Kuboresa daftari la kielektoniki lenye kuonesha idadi na hali ya vifaa vyote vya TEHAMA. “General Inventory”
  5. Kufanya tathimini ya mahitaji ya mafunzo juu ya usimamizi wa mifumo ya taarifa na teknolojia ya habari na mawasiliano na kuandaa mpango wa kujenga uwezo kwa watumishi wa Kitengo cha TEHAMA na watumiaji wengine wa mifumo
  6. Kutekeleza na kusimamia sera ya TEHAMA na Serikali Mtandao
  7. Kurekebisha hitilafu zozote za mtandao wa kompyuta
  8. Kuandaa “Specifications” za vifaa  na mifumo ya TEHAMA
  9. Kurekebisha miundombinu ya mtandao wa mawasiliano.

SEHEMU YA HABARI NA MAHUSIANO:

Katika Sehemu ya Habari na Mahusiano, kazi zinazotekelezwa ni kama zifuatazo:-

  1.  Kutangaza kazi na miradi inayofanyika katika Halmashauri
  2. Kuhakikisha tovuti ya Halmashauri ina taarifa mpya kila wakati pamoja na wasifu wa Halmashauri
  3. Kutoa ushauri wa kitaalam na huduma kwa taasisi katika nyanja za upashaji taarifa, mawasiliano na elimu kwa umma
  4. Kutangaza maeneo ya uwekezaji ya Halmashauri  katika tovuti, redio, majarida na njia nyinginezo za mawasilano
  5. Kumshauri Mkurugenzi juu ya mambo yanayohusiana na mawasilano, utoaji wa taarifa na uelimishaji kwa umma juu ya majukumu yanayotekelezwa na Halmashauri  ili kuimarisha mahusiano ya ndani na nje ya taasisi
  6. Kushiriki katika mijadala ya jamii kuhusu masuala ya Halmashauri
  7. Kutumia TEHAMA katika kutoa elimu kwa jamii

Matangazo

  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA MAENEO YA UCHAGUZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBITI September 16, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI BODI YA ELIMU April 04, 2024
  • TAARIFA KWA UMMA February 26, 2024
  • MWALIKO WA WATAZAMAJI February 16, 2024
  • Angalia Vyote

Habari Mpya

  • KIBITI YAPOKEA CHANJO YA MIFUGO.

    May 08, 2025
  • JAJA KUFAIDIKA NA UTALII IKOLOJIA KUPITIA FUKWE .

    May 06, 2025
  • MWENGE WA UHURU WAPOKELEWA WILAYANI KIBITI NA KUTEMBELEA MIRADI 13

    April 08, 2025
  • WANAWAKE KIBITI WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI LEO.

    March 06, 2025
  • Angalia Vyote

Video za Shughuri za Ofisi au Kitaifa

More Videos

Kurasa za Haraka

  • Ajira
  • Madiwa wa sasa
  • Barua pepe
  • Wasiliana nasi
  • Malalamiko
  • Maswali na Majibu
  • Fursa za Uwekezaji
  • Maktaba ya Picha
  • Fomu Mbalimbali
  • Facebook: kibitidc

Tovuti zinazoshabiana

  • TANZANIA GOVERNMENT PORTAL
  • COAST REGION WEBSITE
  • TAMISEMI
  • PRESIDENT'S OFFICE,PUBLIC SERVICE MANAGEMENT AND GOOD GOVERNANCE
  • NECTA
  • TOVUTI YA AJIRA
  • IKULU
  • TANZANIA BUREAU OF STATISTIJS
  • Tume ya uchaguzi Tanzania

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Kibiti

   

    • Sera binafsi
    • Kanusho
    • Maswali na majibu
    • Sitemap
    • Huduma zetu

Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.