KUELEKEA KUMBUKIZI YA MIAKA 23 YA KIFO CHA BABA WA TAIFA HAYATI JULIUS KAMBARAGE NYERERE, WILAYA YA KIBITI INAWATAKA WATUMISHI NA WAKAZI WOTE WA WILAYA HIYO, KUFUATA NYAYO ZA MUASIS WA TAIFA LETU KWA KUWA WAZALENDO, NA WAWAJIBIKAJI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI ILI KUENDELEA KUJENGA WILAYA IMARA KIUCHUMI, KUPIGA VITA UJINGA , MAGONJWA NA UMASIKINI KWA KUHAKIKISHANKILA MKAZI WA WILAYA HII ANAFANYA KAZI KWA BIDII NA MAARIFA.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.