Posted on: December 18th, 2024
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Selemani Jafo, ameagiza maonyesho ya biashara na uwekezaji ya Mkoa wa Pwani kuwa ya kitaifa kuanzia mwaka 2025, yakisimamiwa rasmi na Wizara ya Viwanda na Biashara.
...
Posted on: December 16th, 2024
Jumla ya Tani 20,150 zenye thamani ya sh. Mil 65 zimeuzwa katika msimu wa korosho Mkoa wa Pwani huku hali ya bei ya korosho ikiridhisha na kuwapelekea matumaini wakulima ambapo waliweza kuuza...
Posted on: December 12th, 2024
Mkuu wa wilaya ya kibiti Kanali Joseph Kolombo amewaagiza Viongozi wote kuanzia ngazi ya mitaa kuhakikisha wanatokomeza na kufuatilia changamoto za ukatili wa kijinsia katika maeneo yao pindi yatokeap...