MKURUGENZI MTENDAJI (W) ANAWATANGAZIA WAFUGAJI WOTE WALIOPO WILAYA YA KIBITI WALIOFIKA ZAMANI NA HIVI KARIBUNI KUTEKELEZA YAFUATAYO
1.KUORODHESHA NA KUWASILISHA IDADI YOTE YA MIFUGO ALIYONAYO(NGO'MBE, MBUZI KONDOO, PUNDA ,MBWA) ORODHA HIYO IWASILISHWE KWA WATENDAJI WA VIJIJI NA KATA HADI TAREHE 30/1/2023
2.WAFUGAJI WOTE WENYE UWEZO WA KUANZISHA RACH NDOGO ZA MIFUGO WAWASILISHE MAOMBI YAO KWA MTENDAJI WA KIJIJI.
3.NAKALA ZA MAOMBI ZIWASILISHWE KWA MTENDAJI KATA NA MKURUGENZI MTENDAJI (W) HADI KUFIKIA TAREHE 30/1/2023.
4.KUUNDA KAMATI ZA MARIDHIANO ZA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA/KUPUNGUZA MIGOGORO YA WAKULIMA NA WAFUGAJI.
5.KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA AFISA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI (W) KWA SIMU:0784211643/0625485444.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.