Rais mstaafu wa awanu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amezitaka taasisi wezeshi nchini kuwa waadilifu na kutowawekea vikwazo wawekazaji pindi wanapofika nchini.
Pia amewataka wawekezaji wote nchini, wakubwa na wadogo kuzalisha bidhaa zenye ubora utakaokidhi soko la kitamaifa ili kuleta ushindani wa bidhaa zetu katika soko la Juimiya ya Afrika Mashariki
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.