Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya ya Kibiti Ndg.Denis Nyoni pamoja na Afisa Mifugo Wilaya Boniface Yohana siku ya jana tarehe 07,Mei, 2025 wamepokea chanjo ya mifugo kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kama sehemu ya Maandalizi ya utekelezaji mpango wa Chanjo wa Taifa Zoezi linalotarajiwa kuanza hivi karibuni katika Wilaya ya Kibiti.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.