Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti anawahimiza
wananchi wa Kibiti kuwa wakati umewadia wa kuanza
kuandaa mashamba yetu kwa ajili ya kulima ufuta.