Katibu Tawala Wilaya ya Kibiti Bi Maria Katemana ametoa baraka kwa wa timu zinazokwenda kuiwakilisha Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti katika Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania (SHIMIWI) yanayotarajiwa kufanyika Jijini Mwanza.
Mashindano hayo yataanza kufanyika tarehe 24.08.2024 na kutamatishwa 05.09.2024.
Habari picha ni Wachezaji na Uongozi wa wanamichezo hao wakati wakiagana na Katibu Tawala ofisini kwake.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.