UUZAJI WA VIWANJA VILIVYOPIMWA KIBITI KARIBU NA MAKAO MAKUU YA WILAYA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti anawatangazia wananchi wote
kwamba amepima Viwanja 80 katika eneo la Lumyonzi Kitalu ‘G’ katika
Makao Makuu ya Wilaya. Bei zake kwa Mita ya Mraba ni Tsh 2500 kwa Makazi
pekee,Tsh 3000 kwa Makazi na Biashara,Tsh 3500 kwa Taasisi.Eneo (Viwanja)
lipo Kilometa 3 kutoka barabara ya Kilwa, linafikika kiurahisi, limezungukwa na
huduma za maji, umeme na ni eneo Tulivu lenye AMANI. Wananchi wote
wanaohitahi viwanja wafike Ofisi ya Mkurugenzi-idara ya Ardhi kununua fomu
za maombi ya viwanja zitakazoanza kuuzwa tarehe 4/11/2019 hadi 8/11/2019
kwa gaharama ya Tsh 20,000.
Kwa mawasiliano zaidi piga Simu: +255 715 746 190
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.