Washindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo Wenyeviti wa Vijiji, Vitongoji na Wajumbe wa kundi mchanganyiko na wanawake katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti wameapishwa rasmi Tayari kwa kuanza utekelezaji wa majukumu yao mapya
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.