13.04.2024
Zoezi la kugawa misaada mbalimbali kwa wahanga wa mafuriko wilayani Kibiti limeendelea ambapo Kaya 165 kati ya 172 zilizopo kambi ya Kitumbini katika kata ya Mtunda zimepokea msaada siku ya leo.
Misaada iliyogawiwa ni mahindi gunia 33 kila kaya kilo 16, Vyandarua 76, Blanketi 61 na ndoo 47.
Tunaendelea kutoa wito kwa wadau kuendelea kuchangia wahanga ni wengi bado wanaitaji msaada.
Copyright ©DED-KIBITI 2017 . All rights reserved.