Posted on: October 19th, 2022
Ikiwa ni Mwendelezo wa ziara za ukaguzi wa miradi ya Maendeleo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Ndg. Mohamed I. Mavura akiambatana na maafisa mbalimbali wa serikali wilayani humo...
Posted on: October 18th, 2022
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Mkoani Pwani Mohamed I. Mavura amefanya ziara ya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo katika Kata za Bungu na Mtawanya.
Akiwa katika Shule ya Msingi...
Posted on: October 17th, 2022
Msimu mpya wa Mauzo ya korosho katika Halmashauri ya Wilaya ya kibiti umezinduliwa rasmi katika ukumbi wa Halmashauri hiyo, ikiwa ni utaratibu wa kawaida kwa Wadau wa korosho kukutana na kujadili ili ...