Posted on: April 9th, 2024
Jana tarehe 08.04.2024 aliyekuwa diwani mteule wa Kata ya Mlanzi, Ndg. Athuman Ally Mketo kufuatia uchaguzi mdogo wa madiwani uliofanyika Machi 20, 2024 ameapishwa rasmi ili aweze kuanza kutekeleza ma...
Posted on: April 8th, 2024
7.4.2024
Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha maafa imetoa msaada kwa wahanga waliofikwa na Mafuriko yaliyoharibu mali mbalimbali kutokana na mvua zinazoendelea nchini katika baadhi ya Kata  ...
Posted on: April 8th, 2024
6. 4. 2024.
Mbunge wa Jimbo la kibiti Mhe. Twaha Mpembenwe amewatembelea na kutoa pole kwa wakazi wa Kibiti ambao wameathiriwa na Mafuriko yaliyosababishwa na maji yanayotiririka kutoka vyanzo mbal...