Posted on: July 7th, 2023
Msimamizi wa uchaguzji Jimbo la Kibiti Bw. Hemed S. Magaro leo tarehe 6 julai, 2023 amewaapisha Mawakala 42 wa vyama vitano kati ya sita vinavyoshiriki Uchaguzi mdogo Kata ya Mahege.
M...
Posted on: July 1st, 2023
Msimamizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo Bw. Hemed S. Magaro tarehe 30 June, 2023 amewateua watu sita kuwa wagombea wa udiwani kwenye uchaguzi mdogo wa Kata ya Mahege iliyopo Halmasha...
Posted on: June 24th, 2023
KIKAO CHA VYAMA VYA SIASA SHIRIKI KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATIKA KATA YA MAHEGE TAREHE 24/06/2023.
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kibiti Ndugu Hemed Magaro amewakilishwa na Msimam...