Posted on: December 27th, 2023
20.12.2023.
Mnada wa Tano na wa mwisho katika msimu wa korosho mwaka 2023 Mkoa wa Pwani umefanyika leo Wilayani Mkuranga ukiwa na wazabuni watano na kufanikiwa kuuza jumla ya Tani 150,938.
Katik...
Posted on: December 23rd, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti Bw. Hemed s. Magaro ameikabidhi Idara ya Elimu msingi vifaa vya Tehama kwaajili ya Kituo cha walimu Kitundu(TRC).
Vifaa hivyo vime...
Posted on: December 17th, 2023
12.12.2023.
Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti imeanza mkakati mpya wa kupandisha ufaulu kwa kuhakikisha wanafunzi wanakuwa na msingi mzuri wa lugha ya kiingereza ambayo imeonekana kuwa changamoto kwa...